Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
KODI NI Tsh. 400,000 X 6 TUU WAHI NYUMBA NZURI SANAA ZA KISASA MPYAAA ZINAPANGISHWA
🌍LOCATION: NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI UPO SAA 24
BAJAJI 700\/= UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
BODABODA 1000\/=
SIFA ZAKE
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#KABATI LA NGUO CHUMBANI
✔️ FENI ZA JUU
✔️ UMEME LUKU YAKO
✔️ MAJI DAWASA YANAFLOW JIKONI NA CHOONI
✔️ WATER RESERVE TANKS
✔️ NYUMBA IPO NDANI YA FENCE NZURI SANA USALAMA KAMA IKULU
✔️ PARKING SPACE KUBWA SANA
✔️ FULL PAVING BLOCKS NA GARDEN SAFI
ITAKUA WAZI TH 20 /01/2025
# SERVICE CHARGE NI 15,000\/=
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0710614924
#0688653940