Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYAAA KABISA KODI 350,000X6
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI LINAWEKWA MAKABATI
PUBLIC TOILET YA NDANI
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI
ZIPO KIMARA STOP OVER
UMBALI KM 1.5
BODA BUKU
ZITAKUWA TIYALI KUINGIA TAREHE 22/4/2025
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK ZINAWEKWA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343