Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
STAND ALONE MPYAA KABISA INA PANGISHWA 400K
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI KM 1
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE
PUBLIC TOILET YA NDANI
NA JIKO SAFI KABISA
MAJI MITA YAKO
UMEME LUKU YAKO
NA UNA TANK LA JUU LA AKIBA
KODI 400,000X6
ITAKUWA TAYALI KUHAMIA TAREHE 30.1.2025
KUONA NA KULIPIA NI LUKSA KABISA
MAFUNDI WAPO KAZINI KWA KASI SANA
MAJI TIYALI
UMEME TIYALI
VIOO NI VYA KUPACHIKA TU
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0625606710