Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI KALI SANA IPO JIRANI NA MWENDO KASS INA PANGISHWA
LOCATION: KIMARA MWISHO
DAKIKA 5_6 KWA MGUU
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET YA NNJE
MAJI YAKO
UMEME LUKU YAKO PIA YANA FLOW NDANI
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
KODI 350,000/= X6
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15,000/=
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.