Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK12 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
INAKUWA WAZI TAR 20.12.2024 KUONA NA KULIPIYA LUKSA YA CHINI ITAKUWA WAZI
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=×6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
---------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#DALALI_BIG_GOBA_MBEZI_BEACH 🇹🇿