Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA 300K X6
KODI LAKI TATU MALIPO YA MIEZI SITA
LOCATION
KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 500 UKISHUKA DK 10 KWA MIGUU
SIFA ZAKE
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#KIMOJA MASTER
#SEBULE
#JIKO
#PUBLIC TOILET YA NDANI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA SANA
#UMEME_LUKU_YAKO
#MAJI_YANAFLOW_CHOONI_NA_JIKONI
#RESERVE TANK ZIPO
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA ELFU KUMI NA TANO MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347