Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APATIMENTI KALI SANA YA KIFAMILIA
KODI 400,000/=X6
INAPANGISHWA IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD DK 5
KWA MGUU
INAKUA WAZI TAR. 30/8/2025
KUONA NI MAZINGIRA YA NNJE
KULIPIA NI LUKSA KABISA
SIFA ZA NYUMBA
____________________
VYUMBA VIWILI KIMOJAWAPO MASTA
SEBULE KUBWA SANA NA JIKO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
=========
KODI 400,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI 400,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747