Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KUBWA INA PANGISHWA 250K
LOCATION: KIMARA STOP OVER
DAKIKA 5_6 KWA MGUU
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO SAFI
KODI 250,000X6
TAILS JIPYSUM MADILISHA YA WAVU YENYE HEWA SAFI
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
MAJI YANAFLOW NDANI MITA YAKO
UMEME LUKU YAKO
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
BARABARA MKEKA HADI KWENYE NYUMBA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
0712656027