Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(250,000X4)KIMARA MWISHO 2.5KM BAJAJI 1000
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI SANA INA PANGISHWA KIMARA MWISHO
KODI 250,000X4
✅VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
✅PUBLIC TOILET
✅SEBULE KUBWA SANA
✅JIKO KUBWA SANA
✅PAVING BROOK
✅PACKING SPACE KUBWA
UMBALI TOKA KIMARA MWISHO KM 2,3
USAFILI BAJAJI 700 DALA DALA 600 TAX 1000
UMEME LUKU YAKO MAJI YANA FLOW NDANI MITA YAKO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE ELF 15
0716223412
0683597453