Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
π£ Inapangishwa KIMARA SUKA
π Kodi 250,000/= Γ3 (lipia hata miezi mitatu)
_
_________
β’ Vyumba 2 vya kulala (kimoja Master)
β’ Sebule
β’ Jiko
β’ Public Toilet
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Maji yanatoka ndani
* Fensi
* Parking Kubwa
π Ya chini inapangishwa ipo wazi
#Kutoka standi ya mwendo kasi km1 usafili boda 1,000 kwa mguu dk 17 mpaka Kwenye nyumba
_______
#Malipo ya Dalali Tsh 250,000/=
#Kupelekwa Kuona Tsh 15,000/=
______________
0753172516