Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM1 KUTOKA LAMI INAKUWA WAZI TAR 25.1.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000/=Γ6
------β--
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
----------
Contact
π#0676_218580 (WhatsApp)
π#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA πΉπΏ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENTπΉπΏ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA π