Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🗯️ STAND ALONE Inapangishwa KIMARA MWISHO
📍 Kodi 400,000 X6
_____
_____
#Umbali wa Kutembea dakika 12 -15 tu
• Vyumba 2 vya kulala (kimojawapo master kubwa)
• Sebule Kubwa
• Dinning Area
• Jiko
• Choo na Bafu Vya Public
* Inajitegemea Yenyewe kwenye fensi ya waya
* Inajitegemea UMEME
* Parking Kubwa
* Maji ndani
_______
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 400,000/=
#Kupelekwa kuona nyumba 15,000/=
№:- 0753172516