Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
๐๐ฒ๐ฎ๐ฆ๐๐ ๐๐ฎ๐๐ฐ๐ ๐ฒ๐ ๐๐ฎ๐ฉ๐๐ง๐ ๐ #๐๐ญ๐๐ง๐_๐๐ฅ๐จ๐ง๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: KIMARA MWISHO
๐๐ข๐๐๐ก๐: Kilomita 1.5 kutoka Main. Road, Usafiri Bajaj 700, Boda 1000. Barabara ni Nzuri Mpaka kwenye Nyumba
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐
============
โข SEBULE KUBWA
โข VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA KIMOJA MASTER
โข JIKO KUBWA
โข PUBLIC TOILET
Nyumba Inajitegemea yenyewe Ndani ya Fensi Parking ipo. Umeme LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
๐๐ค๐๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 400,000 Malipo Miezi 6
๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
0715949085
0782838336