Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE FENSI MOJA NDIO IPO WAZI
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
JIKO KUBWA
PUBLICK TOILET
LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS MAZINGIRA MAZURI SANA
BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
LOCATION KIMARA MWISHO DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
0713320608
0686334182



















