Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


Apartment ziko mbili tuu ndan ya fesi
Umbali km 2 usafir uhakika
Zipo kimara tembin
Sifa ni
Vyumba viwili kimoja ni master
Sebule jiko choo cha familiy
Kodi 250000 x 6
Umeme wako maji yako
Noti hii kwenda kuona nyumba 20k
Na bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja
Ambayo ni 250K
Piga cm O677370515