Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA INA PANGISHWA
LOCATION: KIMARA MWISHO
UMBALI KM 1.5
BODA 1000
KODI 250,000X6
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
PUBLIC TOILET PEMBENI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI