Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA YA CHINI IPO WAZI
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO SIO KUBWA
#PUBLICK TOILET YA NJE
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI GARDEN NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
###0655256419