Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KUPANGA 300K X6
ILIPWE LAKI TATU MALIPO YA MIEZI SITA
SIFA ZAKE
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#KIMOJA MASTER
#SEBULE
#JIKO
#PUBLIC TOILET YA NDANI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM HAKUNA FENSI HAPA ILA MAZINGIRA MAZURI SANA USALAMA UPO WA KUTOSHA NA ZIPO MBILI TUH HAPA
#UMEME UNAJITEGEMEA
#MAJI UNAJITEGEMEA PIA YANAFLOW NDANI
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO NA UKISHUKA UNATEMBEA DK 5 UMEFIKA
N.B NYUMBA HII ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 28.02.2025
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
#0710614924
#0688653940