Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA INA PANGISHWA KIMARA TEMBONI
PIGA SIMU
KODI 350000X6
✅VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
✅PUBLIC TOILET
✅SEBULE KUBWA SANA
✅JIKO KUBWA SANA
✅PAVING BROOK
✅PACKING SPACE KUBWA
UMBALI TOKA KIMARA TEMBONI DAKIKA 10
UMEME LUKU YAKO MAJI YANA FLOW NDANI MITA YAKO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0625606710