Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
250,000x4 KIMARA MWISHO
UMBALI KM 2
INA VYUMBA VIWILI VIKUBWA SANA
PUBLIC TOILET
JIKO LA PEMBENI
SEBULE KUBWA SANA
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO
KODI 250,000X4
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
=====
CONT
0683234124
0718367179