Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM1 KUTOKA LAMI BODA BUKU. IPO WAZI KARIBUNI SANA
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBLE KUBWA SANA
JIKO KUBWA LA KISASA
PUBLIC TOILET
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 400,000/=×6
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343