Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM1 KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 350,000/=ร6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.5
----------
Contact
๐#0764575774