Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







( 250,000 x 6 ) KIMARA MWISHO NYUMBA KUBWA YA KIFAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE INAPANGISHWA
UMBALI WA KILOMETA 2.5 KUTOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASI
USAFIRI WA UHAKIKA
BAJAJ BUKU
VYUMBA ( 2 ) VYA KULALA KIMOJA WAPO MASTER SEBULE KUBWA ( DINNING )PUBLIC TOILET YA NDANI NA JIKO
TILES GPYSUM SLAIDING
WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
What saapp number 0689-547258



















