Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
KODI. NI. 150,000/=X6 KIMARA MWISHO
====
APATIMENTI YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
IPO KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DK 4 NNE TUU
KUTEMBEA KWA MGUU
=====
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI KIMOJA WAPO NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA
CHOO PABLIC NA KORIDO NDIO SEHEMU YA KUPIKIA
=====
INA SAKAFU YA RANGI NYEKUNDU
INAJITEGEMEA UMEME
=====
KODI 150,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/=
DALALI 150,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
====
0716223412
0683597453