Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
KIMARA BUCHA DK3 KUTOKALAMI
SASA IPO WAZI KODI 300,000X6. 0759151524
KIMARA BUCHA DAKIKA 3 KWA MGUU TOKA MWENDO KASS
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO LA OPEN KITCHEN
MAJI YANA FLOW NDANI
NYUMBA HAIPO NDANI YA FENS ILA GARI INAFIKA HADI KWENYE NYUMBA
KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
0679 956 863
0759151524