Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







STAND ALONE NZURI INAPANGISHWA KIMARA STOP OVER
DAKIKA 5_6 KWA MGUU
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
KINGINE SIYO KIKUBWA SANA CHA WASTAN
SEBULE KUBWA NA DINING
JIKO KUBWA FULL MAKABATI
PUBLIC YA NDANI NA NNJE
SEBULENI KUNA AC
KODI 350,000X6
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343