Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


#NAIFAULISHA #250,000\/=
MALIPO MIEZI 3 TU!
--------------------------------
๐Mahali:KIMARA MWISHO(Dsm) ๐น๐ฟ
Umbali:2.Km BAJAJI 700
__________________________
MUUNDO
โ๏ธVYumba Viwili Vya Kulala
โ๏ธSebule Kubwa
โ๏ธChoo Ndani Public
โ๏ธ Jiko lako
โ๏ธMazingira Mazuri .
โ๏ธFeni Ya Juu
โ๏ธPaving block
_______________________________________
HUDUMA
โ๏ธMaji (yapo dawasa)#MITA YAKO
โ๏ธUmeme _LUKU YAKO
๐ Ndani Ya Fensi &Parking ipo
โโโโโโโโโโโโโโโ
KODI; 250,000\/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 3 + mwezi 1 wa dalali
_________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000\/=
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI