Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KWASASA NI LAKI MBILI TUU 200,000
_____________________________
🛣LOCATION KIMARA MWISHO KM 1,5 KUTOKA STEND KIMARA MWISHO PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba ina VYUMBA VIWILI vya kulala chumba KIMOJA ni MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA NA
JIKO ZURI NDANI
Inajitegemea umeme NA maji
Nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana kwa watoto
KODI YA PANGO
________________
💰Kodi kwa mwezi ni laki mbili tuu/=
(200,000)
X 6
Kwa maelezo zaidi Piga simu
📞 0625606710