Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
*ZIKO 5 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU NDANI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2.5, BAJAJI, NOAH700/=
*KODI 300,000/= KWA MWEZI
_____________________________
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347