Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI 300,000X6 KIMARA SUKA DAKIKA 15 KWA MGUU
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
PUBLIC TOILET
JIKO KUBWA NA STORE
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
TAILS JIPYSUM MADILISHA YA KIOO
HAIPO NDANI YA FENSI ILA GARI HADI MLANGONI NA USALAMA WA KUTOSHA
UKILIPIA INA PIGWA RANGI YOTE NA SERVICE NDOGO KUMALIZIWA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
###0655256419