Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
HAYA HII WAHI SASA APARTMENT NZURI SANA SIO MBALI SANA MOROGORO ROAD NA NYUMBA IPO LAMI KWA LAMI UGUSI VUMBI
ITAKUWA WAZI TAR 9/1/2025
LOCATION KIMARA TEMBONI
UMBALI NI DK8
KWA MIGUU
BAJAJI 500
BODA 1000
KODI 450,000X6
IPO NDANI YA FENSI MAZINGIRA SAFI KABISA
VYUMBA 2 VYAKULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA LENYE MAKABATI SAFI YAKISASA
CHOO PUBLIC NDANI
TAILS JIPYSUM MADILISHA YA KIOO
FENI SAFI MAJI YANAFLOOR NDANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI 15,000
N:B Kesho kutwa inakuwa wazi ya juu
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
____&&&&
#0625606710