Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYAAA MPYAA MPYAAA KABISA HIZI UNAZINDUA MWENYEWE
LOCATION:KIMARA MWISHO
KODI 250,000X12
AU 300,000X6
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#SEBULE KUBWA SANA
PUBLIC TOILET YA NDANI NA NNJE
IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
ZITAKUWA TIYALI KUINGIA KUANZIA TAREHE 1/5/2025
KWASASA KULIPIA LUKSA
MAJI YAKO
UMEME LUKU YAKO
FENSI INAJENGWA
UMBALI KM 3
BAJAJI 1000
DALADALA 800
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA