Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK13 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
--------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa.
Jiko la kisasa
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa
----------
Service charge 15,000/=
Kodi 350,000/=ร6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3.5
------------
Contact
๐#0655256419


















