Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NEW NEW APARTMENT ZIPO NNE TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA BARUTI KLM 1 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI /500 UKISHUKA TU UNAPIGA TEKE GETI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0715949085
0782838336