Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APATMENT..
===
Nyumba ya kupanga
===
Bei:300000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali Dk 5 kutembea
Kimara Bucha
===
Nyumba ni ya vyumba viwili vya kulala
sebule
Jiko na choo cha
Public hakuna masta
====
Ina tails jipsum
Dirisha kioo
Maji ndani
Inajitegemea umeme
Na maji.
WAPANGAJI W4.
====
KARIBUNI