Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA
SIFA
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA LA KISASA
PUBLIC TOILET
HEATER ZA MAJI MOTO NA MAJI BARIDI
CCTV CAMERA
PARKING KUBWA
LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
GARDEN
BEI
TSH. 600,000/= KWA MWEZI. ILIPWE MIEZI 6
LOCATION
KIMARA KOROGWE, UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI MPYA. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1. USAFIRI NI BAJAJI TSH 50O
WASILIANA NASI;
0716834095, 0684217177