Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


WAI MAPEMA HII SI YA KUKOSA KABISA
INAKUA WAZI TAR 15/10/2024 KUJA KUIONA NA KULIPIA NI RUKSA KABISA
KODI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
LOCATION: KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 50P NA BRBR NI RAFIKI KABISA KWA GARI YA AINA YOYOTE
SIFA ZAKE
=========
INA VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZUR KWA FAMILIA YAKO
INAJITEGEMEA LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI SANA
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT