Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA DK10 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet ipo njee
Maji yana flow
Luku yako
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000/=ร6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
----------
Contact
#0676_218580 (WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big_kimara ๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT ๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐