Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINA PANGISHWA MPYA KABISA KIMARA KOROGWE KM2 KUTOKA LAMI
ZITAKUW WAZI TAR20.1.2025.
--------
SOMA MAELEZO KWA UMAKINI HAPA KUNA AINA TATU TOFAUTI
( A )VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI NA PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI
KODI NI TZS 600K X6
( B )CHUMBA KIMOJA KIKUBWA CHA KULALA SEBULE KUBWA NA PUBLIC TOILET NZUR YA NDANI
KODI NI TZS 300K X6
[ C ] CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA SANA NA JIKO LAKE KUBWA LA KISASA
KODI NI TZS 200K X6
NYUMBA ZOTE ZINAFUNGWA MAKABATI JIKONI
UMEME NA MAJI ZINAJITEGEMEA NA MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
UKIIPENDA NYUMBA NA UKILIPIA ,MALIPO YA DALALI NI PESA YA MWEZI MMOJA
CONTACT
0676<218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big_kimara ๐น๐ฟ