Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT_FOR_RENT_AT_KIMARA SUKA
📍VYUMBA VIWILI VYA KULALA
📍SEBULE KUBWA
📍KIMOJA MASTER BEDROOM
📍JIKO NZURI LENYE MAKABATI
📍CHOO CHA FAMILIA
📍AIR CONDITION SEBULE NA MASTER
📍MAZINGIRA MAZURI SANAA
📍UMEME LUKU YAKO
📍MAJI YANAFLOW NDANI
KODI NI 400,000 × 6
NYUMBA IPO KIMARA SUKA GOLANI UMBALI WA KILOMETA 3 KUTOKA MOROGORO RAOD USAFIRI NI BAJAJI AU BODA
NYUMBA ZIPO NNE NDANI YA FENCE NA MOJA NDIO IPO WAZI
NDUGU MTEJA ZINGATIA UMBALI PLEASE AND PLEASE
SERVICE CHARGE 20,000/=
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp