Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA NZURI INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6
π NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#GARDEN
π₯ MAFUNDI WAPO KAZINI WANAENDELEA NA UKARABATI WA NYUMBA
BEI NI 400,000/= X 6
π«π« NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0677445508