Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(500,000X6)KIMARA TEMBONI DK 12 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTIMENT CLASC INAPANGISHWA, IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK 12 KUTEMBEA BODA BUKU
MUUNDO WAKE
VYUMBA VIWILI VYAKULALA VIKUBWA SANA KIMOJA MASTAR INASEBULE KUBWA, JIKO KUBWA FULL MAKABATI NA PABLICK TOILET
HEAT YA MAJI MOTO NA BARIDI
INATAILIZI GYUPUSAM ALUMINIUM
INAJITEGEMEA UMEME MAJI SHEA
IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
KODI 500,000/ X 6
KUONA NYUMBA HII ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453