Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam







Nyumba inapangishwa Kinyerezi Mwisho Duka La Dawa.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Paving
- Parking
- Fence
- Wapangaji wawili
Kodi 350,000/= x 4.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.