Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI INAPANGISHWA KINYEREZI MONGOLANDEGE
Karibu na airport ✈️
Eneo salama na tulivu
- Vyumba 2 vya kulala (vyote self-contained)
- Sebule kubwa, dining, jiko la kisasa
- Store, maji ya kisima 24/7, umeme Tanesco
- Parking salama, paving nje yote
- Kituo cha daladala mlangoni
Kodi: 600,000/= kwa mwezi
(Lipa miezi 6)
Udalali = kodi ya mwezi 1 tu
Ingia leo hii!
WhatsApp/Call: 0688 412 890
Waliolipa kwanza ndo wanachukua! 🚀
#Kinyerezi #NyumbaInapangwa #KaribuNaAirport


















