Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam
Hii Ni Nyumba Ya Peke Yake Ya Vyumba 2 Vya Kulala Master Jiko Sebule Dinning Jiko Na Stoo Inapangishwa Bei 250k Maeneo Ya Kinyerezi Kwa Ditopile.Fensi Hakuna Ila Usalama Upo.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji 📞 0688 412 890.