Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba mpya ya vyumba viwili (kimoja master), sebule, jiko, public toilet, n.k. Kinyerezi Mbuyuni.
Kila kitu unajitegemea.
Wapangaji wanne.
Ipo hatua za mwisho.
Pesa anapokea.
Kodi 350,000/=.
Muhitaji piga 0688 412 890.