Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam
NEW YEAR NEW HOUSE π₯ π₯ π₯
Nyumba mpya inapangishwa Kinyerezi Mwisho.
WAPANGAJI WAWILI TU.
- Vyumba viwili vikubwa sana (kimoja master)
- Sebule kubwa kabisa
- Jiko la viwango vya kisasa
- Public toilet
- Maji 24/7
- Water reserve tank
- Maji unajitegemea
- Umeme unajitegemea
- Paving
- Parking
- Fence
- Dakika 5 kutoka kituoni
Kodi 600,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga π 0688 412 890.