Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Kinyerezi G7.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko
- Public toilet
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Paving anaweka
- Parking ipo
- Wapangaji watatu
Kodi 250,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.