Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kinyerezi, Dar Es Salaam
#APART. I N A P A N G I S H W A
#BEI: 500,000Tsh X MIEZI 6
#ILIPO: KINYEREZI MBUYUNI
✔️SEBULE KUBWA
✔️VYUMBA VIWILI VYA KULALA; KIMOJAWAPO KINA CHOO CHAKE NDANI
✔️JIKO
✔️MAJI NA UMEME UNAJITEGEMEA
✔️NYUMBA IPO NDANI YA FENSI
✔️PARKING IPO
✔️NYUMBA NI MPYA 🔥 KULIPIA RUXAA, KUHAMIA 1/1/2025
☎️0625 637254 ☎️ 0788 077337