Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kunduchi, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA IPO KUNDUCHI BEACH NYUMBA LAMI
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTA
SEBULE JIKO KUBWA MAKABATI PUBLICK TOILET/full AC
INAPANGISHWA 500K KWA MWEZI MALIPO YA MIEZ SITA
MAJI DAWSKO 24 HOURS
FULL GARDEN
PG CM 0692406639